Dar es Salaam, Alhamisi Aprili 20, 2017;Mwanariadha pekee wa Tanzania anayeshiriki mashindano ya London Marathon yanayofanyika jijini London jumapili hii amewasili Uingereza tayari kwa mashindano hayo ambayo yanayotarajiwa kushirikisha wanariadha mashuhuri duniani.
Alphonce, ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Standard Chartered Mumbai Marathon, anatarajiwa kuwapa wakati mgumu manguli wa riadha ulimwenguni wanaoshiriki mbio hizi za London akiwemo Muethiopia Kenenisa Bekela pamoja na wengine kutoka Ethiopia na Kenya.
Akiongeamudamfupikablayakupanda Ndege kuelekeaUingereza, Simbualisemaamejiandaakupambanakufanakuponakuhakikishakuwaananyakuamedalikwenyemashindanohayo. “Nitapambanakwanguvuzanguzote.Ninakwenda London nikijuawazikuwanaiwakilishanchiyangukwenyemashindanohayamakubwa.Nakwendakupeperushabenderaya Tanzania” alisemasimbunakuongezakuwa “Nina imaninitashindakwaninimefanyamazoeziyakutoshananinaarinamoyowakushinda. Naombasalazawatanzaniawoteiliniwezekuletamedalinyumbani” AlisemaSimbu.
Ameishukurusanakampuniya Multichoice Tanzania kupitiaKing’amuzi cha DStvkwakumdhamininakuhakikishaanakaakambinikwamudawotehuobilashidayoyote. “NawashukurusanaDStvkwaudhaminiwaomkubwawakambiyanguyamazoezipamojanamahitajiyangumenginekwakipindikirefusasa. Kwakweliwaondiyowaliofanikishamaandaliziyangu” Simbuamewashukurupiawadauwotewariadhahususan Chama Cha Riadha Tanzania pamojanawizarainayohusikanamichezokwajitihadazaozakuahakikisha safari yakeyakwenda London inafanikiwa.
MkurugenziMtendajiwa Multichoice Tanzania Maharage Chande amesemakuwawanaimanikubwasananaSimbukutokananamazoezialiyofanya. “TunafurahisanakuwabaadayakuwekanguvukubwasasaSimbuanakwendakushirikimashindanohayaakiwaamejiandaavizuri. Tunaaminiatashinda, napiahuunimwanzowandotoyetukubwa, yakusikiakwamaraya kwanza wimbowetuwaTaifaukipigwakwenyemashindanoya Olympic. Kwamwenendo wake, tunaaminSimbuatatufikishahuko” alisema Maharage.
Multichoice Tanzania inamdhaminiSimbukwamudawamwakamzimakwalengo la kufanikishamaandaliziyakeyakushirikikatikamashindanoyaDuniayatakyofanyikajijini London mweziwananemwakahuu. Udhaminihuuulianzatangumwaka 2016 ambapo Multichoice humpatiaAlphonceposhoyakujikimupamojanakusaidiakambiyakeyamazoezi.
AlphonceanatarajiwakuswasilinchinisikuyajumatatuAprili 24 saambiliasubuhikatikauwanjawa Ndege wa Kilimanjaro.
About Alphonce Felix Simbu;
Personal best: 2:09.21- Lake Biwa Marathon – Japan.
Born in Singida in 1992, AlphonceSimbu is a DStv ambassador and the latest Tanzanian International Gold Medallists.
2011:Alphonce was selected to represent Tanzania in All Africa Games in Maputo Mozambique after winning the 10,000m at National athletics Championship.
2012-2013: Alphonce trained and participated in different races as an invitee both within and outside Tanzania.
2014: He was selected to join the national team for commonwealth Games held in Glasgow Scotland
2015: Participated in World Cross-country Championships in Gyuiyaang China.
It was on 6th July 2015 when Alphonce participated in his First Marathon race in Gold Cost and scooped 6th position recording a decent timing of 2:12.01.He then qualified for the IAAF 2015 Beijing World Athletics Championships one of the toughest races in the world. Against all odds, he emerged 12th. This gave him a global rating – the IAAF Gold label which qualified him for the 2016 Rio Olympic Games.
On 6th March 2016He was honoured an invitation for the Lake Biwa Marathonin Japangrabbing 3rdposition with a pleasant timing of 2:09.21. During the 2016: Rio Olympic Games, Alphonce further enhanced his record by recording 2:11.05 and making Tanzania proud by clutching 5th position.
His dream of winning a gold medal came true in 2017 when he won yet another highly contested International Marathon – The Standard Chartered Mumbai Marathon while reducing further his timing to 2:09:28!
NowAlphonceis a member of Tanzania National Team for the 2017 London IAAF World Athletics Championship to be held in London on 23rdAugust.
Association with DStv
In 2016 Multichoice Tanzania through its DStv service decided to invest in Athletics by sponsoring AlphonceSimbu in order to make sure he realise his dream of becoming a Gold Medalist. The company entered into a contract to support AlphonceSimbu for an initial period of one year to enable him to prepare well for the 2017 IAAF World Athletic Championship.
Multichoice provideAlphonce with subsistence allowance as well as financing his training. Currently Multichoice is fully sponsoring his training for the preparation of the upcoming London Marathon taking place on 23rd April 2017.
Multichoice Tanzania is supporting Alphonce as part of its Social Value Initiative of nurturing local talents.
For inquiries contact
No comments:
Post a Comment