KARIBU YAKO ZAIDI

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

April 4, 2017

BREAKING: Rais Magufuli kamteua mpinzani kwa mara ya kwanza kwenye Wizara


Leo April 4, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kumteuwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo huku Mhandisi Mbogo Futakamba aliyekuwa kwenye nafasi hiyo amestaafu.

Kabla ya hapo Prof. Kitila Mkumbo alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ lakini Prof Kitila pia ni moja kati ya viongozi wa chama cha ACT Wazalendo, inawezekana ikawa tofauti na isitarajiwe na wengi lakini Rais Magufuli amedhihirisha kauli yake ya kusema ‘maendeleo hayana chama’.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages