KARIBU YAKO ZAIDI

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

May 4, 2017

Buffon kamtuliza Mbappe nusu fainali ya Champions League

 Historia wakati mwingine huwa ina umuhimu sana katika maisha ya soka, usiku wa May 3 katika uwanja wa unaotumiwa na AS Monaco kama uwanja wa nyumbani Monaco waliikaribisha Juventus kucheza mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya pili ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017.
 Mchezo wa nusu fainali ya pili ya kati ya Juventus dhidi ya Monaco kivutio kilikuwa ni golikipa wa Juventus Buffon na mshambuliaji wa Monaco Mbappe ambaye ameonesha umahiri mkubwa katika michuano hiyo kwa siku za karibuni, Mbappe amezaliwa mwaka 1998 leo alikuwa anajitahidi kumfunga Buffon ambaye mwaka anaozaliwa Buffon alikuwa anacheza World Cup yake ya kwanza.

CREDIT:Millard Ayo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages