Leo mapema watoto watatu majeruhi wa ajali ya Basi ya Karatu ambao wote ni Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent ya Mkoani Arusha walisafirishwa na Ndege ya Shirika la Samaritan Purse wakitokea Hospitali ya Mount Meru hadi Uwanja wa ndege wa Kimataifa (KIA) ambako walipanda ndege na kuanza safari ya kuelekea Marekani kwa Ajili ya Matibabu.
Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyotokea Airport wakati wa Usafirishaji wa majeruhi hao ambao waliambatana na Wazazi wao
No comments:
Post a Comment