KARIBU YAKO ZAIDI

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

July 16, 2017

MSIBA:Mke wa Waziri Dkt.Mwakyembe Amefariki.


Kwa taarifa zilizosambaa toka Asubuhi, ni kuhusu kifo cha mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison MwakyembeLinah George Mwakyembe aliyefariki usiku wa July 15, 2017 katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es salaam.
Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali hiyo akipatiwa matibabu ambapo toka July 7 ndio Watanzania wengi walifahamu kuhusu kuumwa kwake baada ya Waziri Mwakyembe kuhudhuria tamasha la Saida Karoli na kusema “mke wangu yuko ICU lakini nimemuomba ruhusa nije kukuunga mkono Saida Karoli”
Shughuli za msiba zinafayika nyumbani kwake Kunduchi Beach, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages