Kufuatia kifo cha Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe, Linah George Mwakyembe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi Waziri Mwakyembe na familia yake kwa ujumla.
Soma Taarifa zaidi hapa chini
Mke wa Mwakyembe Bi. Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment