Habari mbaya kwa mashabiki wa klabu ya Liverpool, mshambuliaji wao Sadio Mane amepata majeraha ya goti ambayo yatamfanya kukosa mechi nane au zaidi za ligi ya Uingereza.
Hizi ndiyo mechi atakazokosa Sadio Mane baada ya kuumia ukianza na ile ya Bournemouth ambayo Liverpool imeambulia sare ya 2-2 ikiwa nyumbani.
April 5 – Bournemouth (H)
April 8 – Stoke (A)
April 16 – West Brom (A)
April 23 – Crustal Palace (H)
May 1 – Watford (A)
May 7 – Southampton (H)
May 13 – West Ham (A)
April 8 – Stoke (A)
April 16 – West Brom (A)
April 23 – Crustal Palace (H)
May 1 – Watford (A)
May 7 – Southampton (H)
May 13 – West Ham (A)
May 21 – Middlesbrough (H)

No comments:
Post a Comment