Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Bw. Said Meck Sadik Tayari kuhudhuria sherehe za wafanyakazi duniani Mei Mosi zitakazofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili mkoani humo.
USISAHAU KUTUFATILIA KUPITIA
No comments:
Post a Comment