KARIBU YAKO ZAIDI

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

May 24, 2017

Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kwenda mafunzo JKT May 2017

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita mwaka 2017 kutoka Shule zote za Tanzania Bara ambao watahudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
 JKT imepangia Makambi kwa wanafunzi hao ambako watapatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu wakitakiwa kuripoti kuanzia May 25 – 30 2017.
Bonyeza HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages