KARIBU YAKO ZAIDI

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

May 18, 2017

Priyanka Chopra, Amitabh Bachchan, Madhuri Dixit MOURN Reema Lagoo's Death

Kuch kuch hota hai ni moja ya movie kali kutoka Bollywood ambayo imekuwa ikipendwa sana na wafuatiliaji wa filamu za kihindi hasa kutokana na uwepo wa Waigizaji mastaa kama Shah Rukh Khan, Salman Khan, Kajol na wengine.
Bad news iliyo sambaa jana May 18, 2017 ni taarifa za kifo cha mmoja wa Waigizaji wa filamu hiyo Reema Lagoo ambaye amefariki mapema jana May 18, 2017 akiwa na umri wa miaka 59 ambapo katika filamu ya Kuch kuchi hota hai Reema Lagoo aliigiza kama mama wa Kajol akitumia jina la Mrs. Sharma.
Miongoni mwa filamu zilizompatia umaarufu ni pamoja na Kal Ho Naa Ho, Maine Pyar Kiya, Hum Aapke Hain Koun…!, Hum Saath Saath Hain, Jis Desh Mein Gangaa Rehta Hai na Vaastav.
Mastaa Mbalimbali Wa Bollywood wameguswa na msiba huo akiwemo Mkongwe Amitabh Bachchan,Priyanka Chopra,Madhuri na wengine wengi Tazama video hapo chini kuona Walicho Tweet.

R.I.P Reema Logoo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages